You are on page 1of 27

HALMASHAURI YA MANISPAA DODOMA

SHULE YA MSINGI……………………………………

TAARIFA YA MAENDELEO YA MWANAFUNZI

JINA:……………………………………..DARASA………………..MUHULA……………20………
SOMO HIS KIS JIO SA HIS ENG TEHAM S/ URAI H/ JUML
A W G Y T L A KAZI A MICHEZO A
ALAMA
DARAJ
A
NAFAS
I

Jumla ya alama zote…………….………jumla ya alama alizopata………….….amekuwa mwanafunzi


wa ……………..kati ya wanafunzi………….Maendeleo yake…………….…….tabia yake…………..……
(nzuri / nzuri sana / inaridhisha).
Maoni ya Mwalimu wa Darasa:………………….………………………………………………..…………………….
Shule imefungwa tarehe………………..……………….itafunguliwa tarehe……….…………………………….

MAAGIZO 1. Aje na sare kamili ya shule, 2………………..……..…………3………………...………………..


(4)……………………………………… .……………….…..(5)……………..………………..……..
………………………..

………………………………………….. …………..……………………..
SAINI YA MWALIMU WA DARASA SAINI YA MWALIMU MKUU

HALMASHAURI YA MANISPAA DODOMA


SHULE YA MSINGI……………………………………

TAARIFA YA MAENDELEO YA MWANAFUNZI

JINA:……………………………………..DARASA………………..MUHULA……………20………
SOMO HIS KIS JIO SA HIS ENG TEHAM S/ URAI H/ JUML
A W G Y T L A KAZI A MICHEZO A
ALAMA
DARAJ
A
NAFAS
I

Jumla ya alama zote…………….………jumla ya alama alizopata………….….amekuwa mwanafunzi


wa ……………..kati ya wanafunzi………….Maendeleo yake…………….…….tabia yake…………..……
(nzuri / nzuri sana / inaridhisha).
Maoni ya Mwalimu wa Darasa:………………….………………………………………………..…………………….
Shule imefungwa tarehe………………..……………….itafunguliwa tarehe……….…………………………….

MAAGIZO 1. Aje na sare kamili ya shule, 2………………..……..…………3………………...………………..


(4)……………………………………….……………….…..(5)……………..………………..……..………………………..

………………………………………….. …………..……………………..
SAINI YA MWALIMU WA DARASA SAINI YA MWALIMU MKUU

MsomiBora.com
SHULE YA MSINGI UHURU
MTIHANI WA MUHULA WA II-2014
HAIBA NA MICHEZO DARASA LA V

SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Bao maalumu lina mashie
2. Kete za kuchezea bao zinakuwa jumla
3. …………….au mkeka wa kukalia hutumika wakati wa kuchezea bao
4. Kwa kawaida bao huchezwa na wachezaji…………………ili kuleta ushindani
5. Kila mchezaji huwa na kete………………..za kuchezea
6. Mashimo ya duara huitwa……………………na
7. Yale ya mstatili huitwa…………………au nyumba kubwa
8. Kuna aina………………….za karata kwa kila pakiti moja
9. Uru kwa jina lingine huitwa…………………….
10. Jembe kwa jina lingine huitwa………………………
11. Mzungu wa nne wa karata yoyote ana thamani ya……………………
12. Dume la karata lina thamani ya…………………….

SEHEMU B: ANDIKA KWELI AU SI KWELI


13. Mchezo wa kurusha tufe humarisha misuli ya miguu…………………………
14. Kiwa cha mpira wa miguu kina umbo la pembe tatu………………….
15. Mchezo wa mpira wa miguu huchezwa dakika 45…………………………….
16. Binadamu wapo katika jinsia tatu……………………….
17. Mawasiliano hutuwezesha kupata habari……………………..
18. Kudai haki bila kufuata taratibu kutatufanya tukose haki……………………
19. Wachezaji wa mpira wa miguu, isipokuwa golikipa hawaruhusiwi kushika mpira………..
20. Kula matunda bila kuosha ni hatari kwa Afya zetu………………………..
21. Kufanya jambo jema bila woga ni dalili ya kujiamini……………………
22. Kurusha tufe kuruka chini na kukimbia na gunia ni sehemu ya riadha…………………..

SEHEMU C: CHAGUA JIBU SAHIHI


23. Timu ya mpira wa miguu huwa na wachezaji…………… [a] 11 [b] 12 [c] 7 [d] 8
24. Timu ya mpira wa pete huwa na wachezaji…… [a] 7 [b] 8 [c] 10 [d] 9
25. Mchezo wa asili ni……….. [a] bao [b] netiboli [c] kikapu [d] futiballi
26. Vyombo vya mawasiliano ni kama…..
[a] simu na radio [b] gari na baiskeli [c] vitabu na matangazo
27. Mchezo wa bao umepata jino la bao kwa sababu huchezwa kwenye………maalum
[a] ubao [b] jamvu [c] mkeka
28. …………..hutumika kurekodia muda wa kuanza na kumalizia mchezo wa kukimbia kwa miguu
mitatu…………. [a] saal [b] simu [c] radio
29. ……………..hutumika kuanzishia mchezo huo [a] filimbi [b] daftari [c] kamba

SEHEMU D: OANISHA SEHEMU ‘’A’ NA ‘B’ ILI ILETE MAANA


SEHEMU ‘A’ SEHEMU ‘B’
30. Dume la karata lina thamani ya A. Kukimbia kwa miguu
31. Jike la karata lina thamani ya mitatu
32. Vyumba vya mchezo wa drafti……… hupakwa rangi tofauti B. Karata
33. Jokeri huwa kwenye C. 32
D. 10
E. 11
F. 40
G. 50

SEHEMU E: KAMILISHA SENTENSI


34. ………………..ni hali ya watu kufikishiana au kupeana habari

Taja aina nne za karata


35. ………………………………………
36. ………………………………………
37. ………………………………………
38. ………………………………………
39. Mchezo wa kukimbia kwa miguu mitatu huchezwa na watu wangapi?……………………………

Michezo ya kukimbia ipo aina tatu nazo ni


40. ……………………………… 41. ……………………………… 42. ………………………………

Taja vyakula vitatu vinavyoliwa sana katika maeneo yetu


43. ………………………………………
44. ………………………………………
45. ………………………………………

Chora aina nne za karata


46. ………………………………………
47. ………………………………………
48. ………………………………………
49. ………………………………………
50. Kila binadamu ana haki ya …………………….

1 18 35
2 19 36
3 20 37
4 21 38
5 22 39
6 23 40
7 24 41
8 25 42
9 26 43
10 27 44
11 28 45
12 29 46
13 30 47
14 31 48
15 32 49
16 33 50
17 34

SHULE YA MSINGI UHURU


MTIHANI WA MUHULA WA II-2014
HISTORIA DARASA LA V

SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Kisayansi binadamu anatokana na jamii ya
[a] nyani [b] vyura na nyangumi [c] sokwe [d] nyoka
2. Kiongozi mkuu wa jamii ya bahaya aliitwa
[a] Abatwale [b] Omukama [c] Abatwazi [d] Abakungu
3. Mwanzo wa kitu au mtu ni [a] dhima [b] hali ya uu [c] mwisho [d] kati
4. Umwinyi ni ukabaila ulioshamiri maeneo ya
[a] Pwani [b] Bara [c] Kanda ya Ziwa [c] Wafugaji
5. Makundi ya vitangulizi vya ukoloni Tanganyika na Zanzibar yalikuwa
[a] mawili [b] matatu [c] matano [d] manne
6. Mkutano wa mabeberu kutoka Ulaya wa kuligawa bara la Afrika ulifanyika mjini
[a] Berlin [b] London [c] Roma [d] paris
7. Mimea inayoota bila ya kupandwa wala uangalizi wa binadamu huitwa
[a] uoto wa asili [b] maji [c] madini [d] wanyama pori
8. Vita vya majimaji vilipiganwa mwaka
[a] 1884-1885 [b] 1905-1907 [c] 1900-1905 [d] 1886-1890
9. Wafanyabiashara wa mwanzo kutoka nje ya Afrika kufika Tanzania walitoka Bara la
[a] Afrika [b] Amerika [c] Asia [d] Ulaya
10. Soko kuu la watumwa Afrika Mashariki lilikuwa
[a] Bagamoyo [b] Mombasa [c] Unguja [d] Kilwa
11. Wapelelezi walianza kuingia Tanganyika na Zanzibar mnamo karne ya
[a] 14 [b] 15 [c] 16 [d] 17
12. Aina ya ukabaila uliokuwapo maeneo ya ziwa Victoria hapo kale ni
[a] ubepari [b] utumwa [c] umwinyi [d] nyarubanja
13. Mwingereza wa kwanza kufika ziwa Nyasa mwaka 1859 pia alitembelea maeneo ya ujiji
[a] Dr. David Livinstone [b] Johan Ludwig Krapf [c] Johan Rebman [d] John Haning Speke
14. Michoro ya mapangoni ipo
[a] isimila Iringa [b] Kondoa Irangi [c] Olduvai George Arusha [d] Jumba la Makumbusho
15. Kazi kubwa ya Morani katika jamii ya Masai ni [a] kuongoza matambiko
[b] kuchunga mifugo [c] kutoa ushauri [d] kulinda jamii na mali zao

SEHEMU B: OANISHA SEHEMU A NA SEHEMU B ILI KULETA MAANA SAHIHI


SEHEMU ‘A’ SEHEMU ‘B’
16. Masalia ya zama za mawe A. Mzungu wa kwanza kuliona ziwa
17. Wanyama pori na ndege Victoria
18. John hanning Speke B. Isimila, bonde la mto kagera
19. Lengo kubwa kuja kueneza dini ya kikristo C. Kubadilishana bidhaa kwa bidhaa
20. Waarabu walifika Pwani ya Afrika D. Bidhaa kutoka Afrika kwenda Asia
Mashariki E. Kitoweo cha jamii kabla ya ujio wa
21. Mfumo wa biashara kabla ya ujio wa wageni wageni
kutoka Asia F. Vitangulizi vya ukoloni
22. Biashara ya kuuza na kununua binadamu G. Wanaharakati waliopinga biashara
23. Rasi ya Tumaini Jema ya utumwa
24. Granville Sharp na William Wiberforce H. Alifika mreno Batholomeo Diaz
25. Wapelelezi wamisionari na wafanyabiashara I. Ukoloni
26. Ni hali ya Taifa la kibepari kulitawala Taifa J. Biashara ya utumwa
lingine kisiasa kiuchumi, jamii, ulinzi K. Wamisionari
27. Ngozi ya pundamilia Chui na pembe za faru L. Mnamo karne ya 10
28. Madini M. Huchimbwa ardhini
29. Uoto wa asili N. Ilisaidia wakoloni kuja kututawala
30. Taarifa za wapelelezi O. Mimea inayoota ardhini bila
kupandwa

SEHEMU C: ANDIKA KWELI AU SI KWELI


31. Taarifa za wapeleelzi, wamisionari na wafanyabiashara zilisaidia wakoloni kuja
kututawala…………
32. Ubugabire ni ukabaila uliokuwepo sehemu za mashariki ya Tanzania…………………………
33. Johan Ludwig na Johan Rebman ni wazungu wa mwanzo kutembelea mlima
Kilimanjaro…………..
34. Dk. Louis Leakey ndiye aliyevumbua fuvu la mtu wa kale katika bonde la Olduvai Mkoani
Arusha mwaka 1959……………………………………….
35. Michoro ya mapangoni iligunduliwa uko Isimila Mkoani Iringa…………………………
36. Utafiti wa wareno wa njia ya kwenda Asia ulifadhiliwa na mfalme Henry wa Ureno
37. Soko kuu la watumwa katika Afrika ya Mashariki ilikuwa Tabora…………………………
38. Ngome ya Fort Jesus ilivunjwa Mombasa mwaka 1698…………………………
39. Mtumwa ni mtumishi asiyelipwa chochote na ambaye amefungwa na huweza kutendwa
lolote na bwana wake…………………………
40. Rais wa kwana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa Hayati Julius K.
Nyerere……………

SEHEMU B: JAZA KWA KIFUPI


41. Kitendo cha kumwaga pombe makaburini na kutupa vipande vya nyama makaburini
huitwa……….
42. Hali ya nchi moja ya kibepari kuitawala nchi nyingine kisiasa kiuchumi na kiutamaduni
inaitwa…..
43. Dola ya Garongazi iliongozwa na nani………………
44. Dhehebu almasi na Tanzanite ni aina za………………
45. Taja vipindi vitatu vya zama za mawe………………
46. Lugha yetu ya Taifa ni ipi………………
47. Taja bidhaa tatu zilizochukuliwa kutoka Tanzania…………….., …………….., ……………..
48. Ni biashara gani iliyodharirisha utu wa mwafrika duniani kote……………………….
49. Ni taifa gani lililokomesha biashara ya utumwa………………………….
50. …………….ni maliasili inayochimbwa ardhini

1 18 35
2 19 36
3 20 37
4 21 38
5 22 39
6 23 40
7 24 41
8 25 42
9 26 43
10 27 44
11 28 45
12 29 46
13 30 47
14 31 48
15 32 49
16 33 50
17 34

UHURU PRIMARY SCHOOL


ENGLISH ANNUAL EXAMINATION STD IV – YEAR 2014

SECTION A: Choose the correct answer and then write its letter in the box given
1. Yesterday we……….a new school bag [a] both [b] bought [c] by [d] buying[ ]
2. The children………..at the party yesterday
[a] dacing [b] dances [c] dance [d] danced [ ]
3. How …….boys are there? [a] much [b] many [c] more [d] are [ ]
4. How…………salt is there? [a] many [b] more [d] more [d] are [ ]
5. We…….go to Morogoro on Friday [a] would [b] shall [c] are [d] was [ ]
6. Lake Tanganyika is the………lake in Africa
[a] deepest [c] deep [c] deeper [d] deeping [ ]
7. She is….than her brother [a] youngest [b] young [c] younger [d] young than[ ]
8. Is that your mother’s car, yes it is… [a] his [b] yours [c] theirs [ ]
9. Please give us our ball, it is…………. [a] theirs [b] yours [c] ours [d] hers[ ]
10.A person who makes chairs, desks and windows is a…………..
[a] carpenter [b] doctor [c] shoe maker [d] maker [ ]
11.A person who treats sick people is a
[a] shoemaker [b] fisherman [c] policeman [d] shoemaker [ ]
12.The sister of your father is your
[a] niece [b] aunt [c] nephew [d] brother in law [ ]
13.The husband of your sister is your……
[a] brother in law [b] husband [c] brother [d] uncle [ ]
14.I got into an aeroplane and flew to Mtwara I travelled……bus
[a] by [b] on [c] with [d] and [ ]
15.I eat food……a spoon [a] on [b] with [c] by [d] are [ ]
SECTION B: Write the word: Underline the word which is different
16.Carpenter, desks, chairs driver, tables
17.Lion, elephant, zebra, orange, cow
Write singular and plural
SINGULAR PLURAL
18.………………….. Bicycle
19.Year …………………..
20.Bull ……………………
SECTION C: Read the following passage carefully and answer the questions 21 to 25
Barika married Dora twenty years age Rehema is Baraka’s daughter and Peter is
Dira’s son. Rehema is ten years old while Peter is thirteen years old. Mr. Baraka has got
one brother called moses
QUESTIONS
21.How many children does Baraka have? [a] three [b] two [c] five [d] four [ ]
22.How many family membes does Mr. and Mrs Baraka have?
[a] five [b] six [c] four [d] two [ ]
23.How does Baraka call Rehema? [a] daughter [b] niece [c] nephew [d] cousin[ ]
24.The brother in law of Dora is [a] Baraka [b] Peter [c] Moses [d] Dora [ ]
25.The story talks about
[a] Moses family [b] Peter’s family [c] baraka’s family [d] Rehema’s family[ ]

UHURU SHULE YA MSINGI


MTIHANI WA KISWAHILI DARASA LA IV-MUHULA WA II-2014

A: IMLA
1. Wanafunzi wa darasa la nne ni wachache……………………………..
2. Wakulima wamelima mazao mengi…………………………
3. Wanajeshi wanafanya mazoezi uwanjani…………………………
4. Leo ni sikukuu ya mashujaa…………………………
5. Fyeka majani haya…………………………

B: CHAGUA JIBU SAHIHI KISHA ANDIKA HERUFI KWENYE KISANDUKU


6. Mtoto wa shangazi unamwita…….. [a] dada [b] kaka [c] binamu [ ]
7. Huyu……..aliyeiba kuku wetu [a] ndio [b] ndiyo [c] ndiye [ ]
8. ………ni mdudu asiye na uti w amgongo [a] papasi [b] njiwa [c] bata [ ]
9. Wakati anavua aliweka….kwenye ndoana [a] mboga [b] nyavu [c] chombo[ ]
10.Mtu anayeendesha meli huitwa [a] nahodha [b] rubani [c] dereva [ ]
11.Nini maana ya kutia nanga?
[a] kufika mwisho wa jambo [b] kutia uzito jambo [c] kuanza kutenda jambo[ ]
12.Mgaagaa na upwa…….
[a] hula wali vizuri [b] hali wali mkavu [c] hali wali mbichi [ ]
13.Wapiganao ndio….. [a] wagomvi [b] walevi [c] wapatanao [ ]
14.Ukimwona kobe kainama ujue [a] anaomba dua [b] anatunga sheria [c] analia[ ]
15.Utupacho wewe kwake ni dhahabu [a] mbu [b] inzi [c] mende [ ]

C: TUMIA MANENO YAFUATAYO KUKAMILISHA INSHA HII


[ Mifugo, maisha, salama, jangwani, viumbe]
Maji ni muhimu sana kwa (16)………………………..ya viumbe hai. Mahali
pasipo na maji (17)……………….hai haviwezi kuishi. (17)………………..hakuna maji
ya kutosha. Maji kidogo yaliyopo hayatoshi kwa mahitaji ya watu na (19)……………….
Binadamu ana matumizi mengi ya maji. Anahitaji maji kwa ajili ya chakula,
kuogea, kufulia na kusafisha vyombo, kwa ajili ya kunywa. Maji ya kunywa lazima yawe
maji safi na (20)………………

D: ANDIKA WINGI WA MANENO HAYA


UMOJA WINGI
21.Busara ………………………………………
22.Jiwe ………………………………………
23.Mama ………………………………………
24.Daktari ………………………………………
25.Ndizi ………………………………………

UHURU SHULE YA MSINGI


MTIHANI WA TEHAMA DARASA LA IV-MUHULA WA II-2014

SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHIHI KISHA ANDIKA HERUFI KWENYE KISANDUKU


1. Kompyuta nyingi hutumia program andishi ya
[a] w.wcom [b] com.ww [c] Microsoft word [d] kipeperushi [ ]
2. KIKU kinasemekana kuwa akili ya kompyuta kwa sababu [a] kichakato kikuu [b] hutumia mshale [c]
kifaa [d] huchambua kazi zote zinazoingia kwenye kompyuta [ ]
3. Vyombo vya mawasiliano vinaweza kugawanyika aktika makundi
[a] matatu [b] mawili [c] manne [d] matano [ ]
4. Televisheni na redio hutoza ada za tangazo kwa [a] kulingana na mshahara [b] ukubwa wa skrini [c]
kupima muda wa tangazo kwa sekunde [e] kupima umeme [ ]
5. Vituo vya unasihi vinavyopatikana Tanaznia ni kama vile [a] UMATI, ANGAZA na VCT
[b] AMREF-Tanzania, TAYODEA na CHISWEA [c] MAISHA, WAMATA na CHISWEA [d]
UMATI, EMAU na BAKWATA [ ]
6. Vituo vya unasihi ni maeneo maalumu yanayotoa ……..kwa wananchi
[a] ushauri [b] sheria [c] tangazo [d] amri [ ]
7. Kuna nambari za aina mbili ambazo ni [a] kiarabu na kirumi
[b] kirumi na kiingereza [c] kiarabu na kiafrika [d] kiingereza na kiarabu [ ]
8. Maktaba ni nyumba au chumba kinachotunza [a] meza, madawati vitabu, majarida
[b] majarida, meza vitabu magazeti [c] vitabu, majarida magazeti na maandiko
[d] maandiko, madawati, magazeti na maandiko[ ]
9. Matumizi ya maktaba ni [a] sehemu ya mapumziko
[b] kujielimisha kwa kupata maarifa mapya [c] sehemu ya kupiga simu
[d] kupata maandiko biashara na lugha
10. Ukurasa wa yaliyomo huorodhesha [a] vitabu [b] magazeti na majarida
[c] mada zilizomo kwenye vitabu na kuonyesha kurasa [d] huonyesha namba tu[ ]

SEHEMU B: OANISHA SEHEMU A NA SEHEMU B ILI KUPATA MAANA SAHIHI


SEHEMU ‘A’ JIBU SEHEMU ‘B’
11. Faharasa [ ] A. Televisheni na kompyuta
12. BAKWATA, EMAU, UMATI, ANGAZA [ ] B. Haiba
13. Sauti, maandishi na picha [ ] C. Ni orodha ya maneno ambayo
14. Vyombo vya habari [ ] yametumika katika andiko
15. Vituo vya unasihi hutoa stadi za maisha [ ] D. Mazingira
na ujenzi wa E. Vituo vya unasihi
F. Redio, televisheni, kompyuta,
magazeti
G. Ubunifu na uundaji

SEHEMU C: ANDIKA KWELI AU SI KWELI


16. Mkutubi hahusiki katika kueleza watumiaji wa maktaba……………………………..
17. Ukurasa wa yaliyomo huorodhesha mada zilizomo kwenye kitabu………………………..
18. Faharasa sio kurasa muhimu katika vitabu………………………..
19. Vituo vya unasihi hutoa huduma kwa ugonjwa wa UKIMWI, Kansa, ugumba na matatizo ya ajira…..
20. Vituo vya Televisheni na redio havitozi ada katika kutoa matangazo………………………..

SEHEMU D: JAZA NAFASI ILIYOACHWA WAZI


21. …………………inaweza kuwa kabati katika maktaba, kabati lililojaa kadi au inaweza kuwa faili
katika kompyuta
22. Maandiko ni makala au maandishi kama vile………………………..
23. Eleza umuhimu wa vituo vya habari na mawasiliano
[a]…………………………[b]…………………………[c]………………………..
24. Tunaweza kusema ndiyo akili ya kompyuta, kifaa hicho kinaitwaje?
25. Vyombo vya mawasiliano vinaweza kugawanywa katika makundi matatu ambayo ni
[a]…………………………[b]…………………………[c]………………………

UHURU SHULE YA MSINGI


MTHANI WA HISTORIA DARASA LA IV-MUHULA WA II-2014

SEHEMU A: Chagua jibu sahihi kisha andika herufi kwenye kisanduku


1. Halmashauri ya Mtaa au Kijiji inaweza kutunga…………ndogondogo kupambana na mila
potofu [a] mila [b] sheria [c] utamaduni [d] amri [ ]
2. Mambo yanayofanywa na jamii Fulani ambayo yanalingana na asili, mazingira na nyendo za
jamii hiyo [a] utamaduni [b] desturi [c] mazingira [d] mila [ ]
3. Ni kivutio kwa watalii nchini Tanzania
[a] wanyamapori [b] mazingira [c] viwanja [d] Afrika [ ]
4. ……..ni vitu na viumbehai asilia vinavyopatikana kwenye eneo Fulani la ardhi kama vile
wanyamapori, madini, misitu, mito na maziwa [a] ardhi [b] pori [c] maliasili [d] vitu[ ]
5. Engaruka kulikuwa na [a] chuma [b] utajiri [c] makaa yam awe [d] chumvi [ ]
6. Hatua ya tatu ya binadamu aliyopitia miaka milioni moja na laki nne iliyopita ni ile ya [a]
Homosapiens [b] Zinjathropus [c] Homoerecties [d] Sokwe [ ]
7. Ni mtaalamu gani aliyegundua fuvu la binadamu wa kwanza [a] Karl Peters [b] Charles
Darwin [c] Louis Leaky [d] William macknon [ ]
8. Mwanasayansi aliyefanya utafiti na kusema asili ya binadamu ni mnyama aina ya sokwe ni
[a] Louis Leaky [b] Carl Peters [c] Charles Darwin [d] Zelewsky [ ]
9. Kuna hatua ngapi za mifumo ya uzalishaji mali ambazo binadamu alipitia
[a] 6 [b] 4 [c] 5 [d] 8 [ ]
10. Binadamu wa mwanzo kabisa alitembea kwa miguu mingapi?
[a] mitano [b] miwili [c] mitatu [d] minne [ ]

SEHEMU B: OANISHA SEHEMU A NA SEHEMU B ILI KULETA MAANA SAHIHI


SEHEMU ‘A’ JIBU SEHEMU ‘B’
11. Zama pia huitwa [ ] A. Binadamu wa mwanzo
12. Sifa za mfumo wa ujima [ ] B. Aina ya ukabaila msingi ni ng’ombe
13. Zinjathropus [ ] C. Walilinda mali na jamii nzima ya kimasai
14. Ubugabire [ ] D. Enzi
15. Morani [ ] E. Karl Peters
F. Mali kama vile ardhi na rasilimali zilimilikiwa
na jamii

SEHEMU C: ANDIKA KWELI AU SI KWELI


16. Mtazamo wa kidini unaeleza chimbuko la binadamu ni sawasawa na mtazamo wa kisayansi
17. Fuvu la binadamu wa kwanza liligunduliwa kusini mwa Tanzania …………………………..
18. Kusoma maandishi na michoro ya kale inatuwezesha kuelewa historia……………………
19. Ugunduzi wa moto ulifanyika mwishoni mwa zama za mawe za kati……………………
20. Ususi zama za ujima unalingana na ususi wa kisasa……………………

SEHEMU D: JAZA MAJIBU KWA KIFUPI


21. Katika kabila la wamasai Laiboni Olengishu alikuwa nani?
22. Taja sifa tatu za mfumo wa ukabaila
[i]……………………….[ii]……………………………[iii]………………………..
23. Kipindi cha miaka kumi huitwa
24. Nini maana ya utamaduni?
25. Taja mila tatu potofu katika jamii
i]……………………….[ii]……………………………[iii]………………………

UHURU SHULE YA MSINGI


MTHANI WA SAYANSI DARASA LA IV-MUHULA WA II-2014

CHAGUA JIBU SAHIHI NA UANDIKE HERUFI KATIKA KISANDUKU


1. Vitu vitoavyo mwanga wa asili ni [a] jua, radi na chemli [b] nyota, radi na glopu ya umeme
[c] jua, tochi na radi [d] radi jua na nyota [ ]
2. Sauti hutokana na [a] hewa [b] mwanga [c] tarumbeta [d] mitetemo [ ]
3. Mzunguko kamili wa umeme huitwa
[a] swichi [b] voltimita [c] voltimita waya [d] sakiti [ ]
4. Ifuatayo ni milango ya fahamu isipokuwa [a] macho [b] nywele [c] ngozi [d] ulimi[ ]
5. Mvuke upo katika hali gani ya maada? [a] barafu [b] gesi [c] kimiminiko [d] yabisi[ ]
6. Sehemu kubwa ya miili yetu ni [a] mifupa [b] maji [c] nyama [d] damu [ ]
7. Unajimu ni elimu ya [a] dunia [b] anga [c] dini [d] nyota [ ]
8. Ni aina gani ya gesi hutumika kutengeneza vinywaji kama soda na bia [a] haidrojeni [b]
kabonidioksaidi [c] oksijeni [d] naitrojeni [ ]
9. Kundi mojawapo la magonjwa yafuatayo lina chanjo za kinga [a] kifaduro, surua, na
dondakoo [b] malaria, kichocho, kipindupindu [c] Ukimwi, surua, na kifua kikuu [d]
maumivu ya kichwa, macho na kifaduro [ ]
10. Chuma kinapopaat joto [a] hutanuka [b] husinyaa [c] huvutika [d] huganda [ ]

JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI


11. Joto husafiri katika vimiminiko kwa njia iitwayo…………………………….………….
12. Ardhi, maji, wanyamapori na misitu hujulikana kama…………………….…………
13. Madini yanayoimarisha meno na mifupa huitwa…………………….…………
14. Gesi inayotokana na kinyesi cha wanyama huitwa…………………….…………
15. Sauti inapogonga na kurudishwa huitwa…………………….…………

JIBU KWELI AU SI KWELI


16. Uterasi huhifadhi mimba………………….………
17. Hewa ni muhimu kwa uhai wa viumbe………………….………
18. Mwanga ni mchanganyiko wa rangi saba………………….………
19. Sumaku huvuta vitu vyote………………….………
20. Mazingira safi husababisha milipuko ya magonjwa………………….………

OANISHA ORODHA A NA ORODHA B ILI KUPATA SENTENSI SAHIHI


ORODHA ‘A’ JIBU ORODHA ‘B’
21. Korodani [ ] A. mashine za aina mbalimbali
22. Mitambo [ ] B. mfumo wa uzazi wa kiume
23. Ovary [ ] C. inaweza kuunguza nyumba
24. Radi [ ] D. sehemu ya ua yenye rangi
25. Petali [ ] E. meno, macho na kinywa
F. sehemu ya kike ya ua

UHURU SHULE YA MSINGI


MTHANI WA HAIBA NA MICHEZO DARASA LA IV-MUHULA WA II-2014

SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Kuna mifupo ya aina ngapi [a] moja [b] mbili [c] tatu [d] nne [ ]
2. Mbio zimegawanyika katika sehemu kuu [a] moja [b] sita [c] tatu [d] nne [ ]
3. Mchezo wa kutupa tufe unahitaji mchezo kutumia
[a] maneno [b] uzembe [c] akili [d] ujinga [ ]
4. Mawasiliano mazuri hujenga uhusiano
[a] mbaya [b] wa kawaida [c] mwema [d] wa wastani [ ]
5. Lengo kuu la mawasiliano ni kupashana
[a] moto [b] michapo [c] habari [d] mawasiliano [ ]
6. Binadamu wote ni [a] tofauti [b] walewale [c] sawa [d] sawasawa[ ]
7. Mlo kamili ni ule wenye
[a] mafuta mengi [b] chumvi ya kutosha [c] virutubisho vyote [ ]
8. Uvumilivu ni tabia na mitindo……….wa maisha
[a] hatari [b] mpya [c] bora [d] mbaya [ ]
9. Kuthubutu maana yake ni [a] kusema [b] usijaribu [c] kujaribu [d] kuweza [ ]
10. Tabia ya mitindo bora ya maisha hujulikana kwa
[a] kusema [b] kuangalia [c] matendo [d] kutosema [ ]

SEHEMU B: ANDIKA NDIYO AU HAPANA


11. Familia zinazowasiliana zina upendo
12. Ushirikiano ni tendo jema
13. Daftari la kumbukumbu linatuwezesha kutunza matokeo ya michezo
14. Asili ya mpira wa miguu ni Uingereza
15. Binadamu si kiumbe mwenye kutambua

SEHEMU C: OANISHA FUNGU A NA FUNGU B


FUNGU A JIBU FUNGU B
16. Kiranja mkuu [ ] A. Kuwa na afya njema
17. Mazoezi ya viungo na mwili hutusaidia nini [ ] B. Kanuni
18. Yanayochemshwa na kuchunjwa ni maji ya C. Kiongozi mkuu wa wanafunzi
19. Unapodaiwa haki unatakiwa uzingatie [ ] D. Kuvuta sigara
20. Mwanafunzi hatakiwi E. Kunywa
[ ] F. Kuja shule
G. Maji ya kuoga
[ ] H. Sheria

SEHEMU D: JAZA NAFASI ZILIZO WAZI


21. ………………………ni kitendo cha mtu kupatiwa stahili yake
22. Mchezo wa kukimbia na chupa kichwani ni mchezo wa
23. Mbio fupi kabisa ni za mita ngapi?.........................

MALIZIA MICHORO HII


24. Hii ni picha ya 25. Hii ni picha ya

UHURU SHULE YA MSINGI


MTHANI WA URAIA DARASA LA IV-MUHULA WA II-2014

CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI


1. Nchi ya Tanzania bara ina jumla ya mikoa mingapi? [a] 30 [b] 20 [c] 26 [d] 10 [ ]
2. Jeshi lipi linajishughulisha zaidi na usalama wa raia hapa chini?
[a] jeshi la wananchi [b] jeshi la polisi [c] jeshi la mgambo [d] jeshi la kujenga tafia[ ]
3. Kiongozi wa ngazi ya juu katika Serikali ya Mtaa au Kijiji ni
[a] balozi [b] Mwenyekiti [c] Katibu [d] Diwani [ ]
4. Zifautazo ni baadhi ya haki za mtoto isipokuwa [a] kufanya kazi kwa bidii
[b] kupendwa na kulindwa [c] kulala na kucheza [d] kusaidia na kuheshimu wakubwa [ ]
5. Serikali ya Kijiji au Mtaa inazo Kamati……….za kudumu
[a] nne [b] tatu [c] sita [d] tano [ ]
6. ………….ni siku ya kuadhimisha tukio Fulani [a] siku za kazi
[b] mwaka moya [c] sikukuu [d] muungano [ ]
7. Tanania Bara ilipaat uhuru wake tarehe 9 Desemba mwaka
[a] 1964 [b] 1962 [c] 1967 [d] 1961 [ ]
8. Wimbo wa Taifa una beti [a] nne [b] tatu [c] tano [d] mbili [ ]
9. Bendera ya Rais ina rangi
[a] Kahawia [b] bluu mpauko [c] kijani kibichi [d] manjano na kijani [ ]
10. Nembo ya taifa ina alama [a] kumi na tano [b] kumi na tatu [c] tisa [d] tatu [ ]
11. Tarehe 26/04/1964 ni siku ya Muungano kati ya [a] Pemba na Unguja
[b] Zanzibar [c] Zanzibar na Tanganyika [d] Tanganyika na Pemba [ ]
12. Vikao vya Halmashauri ya jiji huongozwa na
[a] katibu mkuu [b] Waziri mkuu [c] Meya [d] Rais [ ]
13. Katika uongozi wa shule Mwalimu Mkuu hushauriwa na [a] Wazee mashuhuri
[b] kamati ya maendeleo [c] kamati ya shule [d] chakula cha mifugo [ ]

JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI


14. Maendeleo ya watu huletwa na……………………wenyewe
15. Waziri, Mkuu wa Mkoa, Katibu wa Tarafa, Mkuu wa Wilaya kati ya hawa ambaye hateuliwi
na Rais ni ……………
16. Chombo kinachotunga sheria ndogo ndogo katika Halmashauri ya Wilaya ni………….
17. Kifupi cha Tanzania Labour Party ni………………..
18. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ni…………………
19. Tanzania ina vyama………………vya siasa vyenye usajili wa kudumu
20. ………….ni namna ya kujilinda au kujikinga na maadui

JIBU KWELI AU SI KWELI


21. Ajali husababisha vifo, ulemavu na uharibifu wa mali………………………
22. Wezi huhataraisha maisha na mali ya jamii………………
23. Watoto hawatakiwi kushiriki katika uamuzi………………
24. Utawala unaofuata misingi ya sheria ndio utawala bora………………
25. Usalama ni hali ya kuwa na amani na utulivu………………

UHURU SHULE YA MSINGI


MTHANI WA HISABATI DARASA LA IV-MUHULA WA II-2014

1. 2143 + 1443 = __________


2. 45665
3. 9991 – 6661 = 11. saa dak
4. 6155 4 25
5. 3600 x 36 = -2 45
6. 13 468 = ___________
7. 4565 ÷ 5 =
8. 4/9 + 3/9 = 12. sh st
9. 44/60 – 35/60 = 156 80
10. saa dak +92 60
3 10 __________
+3 50
13. sh st
1460 20
-80 90 20. Tafuta mzingo wa umbo lifuatalo
___________

14. Badili kilogamu 7 ½ kuwa gramu


15. Badili dakika 180 kuwa masaa
16. Andika 49 katika namba za kirumi
17. Je uso wa saa hii unaonyesha saa ngapi?

21. Kijiji cha Mtakuja kina wanawake 48650


na wanaume 462600. Jumla kina wakazi
wangapi?
22. Kazimoto ana shamba lenye miti ya
18. Ni sehemu gani ya umbo imetiwa kivuli? minazi na michungwa 42324 kati ya hiyo
21505 ni michungwa. Minazi ni
mingapi?
23. Masanduku 50 ya soda yana chupa 1200.
Kila sanduku lina chupa ngapi?
24. Darasa la nne lina watoto 36. Kila mtoto
alipewa daftari 8. Jumla nid aftari
25. Juma alikwenda dukani na kununua vitu
vifuatavyo kg. 6 za mchele @ sh 1200
19. Tafuta eneo la umbo lifuatalo penseli 3 @ 250, lita 10 za mafuta @ sh
sm.18 1000 na jozi 2 za viatu @ sh 2500. Je
alilipa shilingi ngapi?
sm.16

MTIHANI WA STADI ZA KAZI DARASA LA IV


UHURU SHULE YA MSINGI – MUHULA WA II NOV, 2014

A: CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Uchoraji wa picha hutokana na [a] vitu halisi [b] picha nzuri [c] vitu vizuri [ ]
2. Yapo mambo………ya kuzingatia unapochora [a] matatu [b] manne [c] matano[ ]
3. Kuna rangi………za msingi [a] tatu [b] nne [c] tano [ ]
4. ……..hupatikana baaa ya kuchanganya rangi za msingi
[a] halisi [b] rangi za upili [c] rangi nyingi [ ]
5. Rangi nyekundu ikichanganywa na rangi ya njano inapatikana rangi ya
[a] kijani [b] machungwa [c] zambarau [ ]
6. …….ni sanaa inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa mbalimbali kwa kutumia udongo
[a] uchoraji [b] ufinyanzi [c] ususi [ ]
7. Ushonaji wa vifani ni sanaa inayohusika na ufundi wa kusuka vitu mbalimbali mfano
[a] kikapu na chungu [b] kofia na kikombe [c] kikapu na kofia [ ]
8. …….ni namna ya ushonaji wa kuweka urembo katika nguo
[a] kushona [b] kushikiza [c] kutarizi [ ]
9. Majigambo ni kipera cha sanaa za maonyesho kinachotumia…….kutoa ujumbe uliokusudiwa
[a] michezo [b] lugha [c] ngoma [ ]
10. ……….ni ngoma ya asili kwa wangoni [a] lizombe [b] sindimba [c] mdundiko [ ]

B: OANISHA KIFUNGU A NA B ILI ILETE MAANA


KIFUNGU ‘A’ JIBU KIFUNGU ‘B’
11. Mganda [ ] A. Ala za muziki
12. Ngonjera [ ] B. aina za mbolea
13. Ukimwi [ ] C. wanyasa
14. Filimbi, tarumbeta [ ] D. sanaa za maonyesho
15. Mboji, samadi na C.A.N [ ] E. VVU

C: ANDIKA NDIYO AU HAPANA


16. Matumizi ya mbolea si kurutubisha ardhi……………………………….
17. Kilimohai ni rafiki wa mazingira………………………….
18. Inasemekana na kukadiriwa kuwa asilimia themanini ya watanzania wanategemea kilimo na
ufugaji………………………….
19. Uti wa mgongo wa taifa letu ni kilimo………………..
20. Kanuni mojawapo ya ufugaji wa bata ni kujenga banda zuri la kuishi………………
21. Faida ya upishi ni kuongeza kipato pia ni ajira…………………
22. Matunda ni chakula kinachoweza kuliwa bila kupikwa…………………
23. Kuna njia tano za upishi………………………
24. Nguo za nailoni hutengenezwa kwa kutumia nyuzi za pamba……………
25. Nguo chafu ni makazi ya wadudu kama vile chawa, kunguni na mende…………………

MTIHANI WA JIOGRAFIA DARASA LA IV


UHURU SHULE YA MSINGI – MUHULA WA II NOV, 2014

SEHEMU A: CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Zipo pande kuu…………..za dunia [a] nne [b] tatu [c] sita [d] mbili [ ]
2. Ngorongoro ni kivutio cha watalii katika mkoa wa
[a] Mara [b] Arusha [c] Manyara [d] Dar es salaam [ ]
3. Alama hii huwakilisha nini katika ramani
[a] kanisa [b] msikiti [c] posta [d] soko
4. Mwezi huzunguka dunia mara moja kwa siku [a] 130 [b] 28 [c] 26 [d] 32 [ ]
5. Juma linakozama huitwa [a] mawio [b] machweo [c] mavazi [d] mwandamo [ ]
6. Barabara ni huduma muhimu ya jamii kwa sababu inarahisisha [a] sherehe [b] uchukuzi [c]
utamaduni [d] kisiasa
7. Zao la tumbaku ni malighafi ya kutengeneza
[a] karatasi [b] sigara [c] kahawa [d] kalamu [ ]
8. Kuna aina ngapi za biashara [a] 1 [b] 2 [c] 3 [d] 5 [ ]
9. Kuna njia ngapi za usafirishaji [a] 2 [b] 3 [c] 4 [d] 1[ ]
10. Mwaka mmoja una vipindi vine vya majira ya mwaka vipindi hivyo ni
[a] kiangazi, masika, kipupwe na jua [b] kiangazi masika, kipupwe na vuli
[c] masika, vuli kiangazi, majira [d] vuli, majira, kiangazi, mwanza

SEHEMU B: ANDIKA NDIYO AU HAPANA


11. Karafuu hulimwa Unguja na Pemba…………..………
12. Buni hutumika kutengenezwa kinywaji…………..………
13. Chanzo cha mvua ni mvuke uliopaa anani…………..………
14. Kasi ya upepo hupimwa kwa kutumia anemometa…………..………
15. Jangwa ni eneo kavu lisilopaa mvua kwa muda mrefu……………..……………

SEHEMU C: OANISHA FUNGU A NA FUNGU B


FUNGU A JIBU FUNGU B
16. Vitu vinavyounda anga A. Misitu, nyasi dufu na mbuga za nyasi na
17. Aina za uoto vichaka
18. Vumbi na moshi B. Huchafua hewa
19. Makundi ya uoto wa asili C. Nyota, mawingu, mwezi
20. Mkusanyiko wa mti mingi mirefu D. Misitu
inayotoa sehemu zenye mvua nyingi E. Asili ya kupandwa

SEHEMU D: JAZA NAFISI ZILIZOWAZI


21. Nchi tatu za Afrika Mashariki Kenya, Uganda na……………………….
22. Madini ya Tanzanite yanapatikana Mkoa wa……………………………..
23. Sehemu ya ardhi iliyosawa pana na yenye usawa huitwa…………………
24. Sehemu ambayo maji hukusanyika huitwa……………………………
25. Chora ramani ya daraja

MTIHANI WA URAIA DARASA LA III


UHURU SHULE YA MSINGI – MUHULA WA II NOV, 2014

CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Uongozi ni [a] usimamizi katika kazi, shughuli fulani
[b] usimamizi kazini [c] kufanya kazi [ ]
2. Viongozi wa familia ni [a] kaka [b] baba na mama [c] dada na mama [ ]
3. Wimbo wetu wa Taifa ni dua na sala ya kuiombea…
[a] nembo ya Taifa [b] Kenya [c] Afrika na Tanzania [ ]
4. …….ni jambo ambalo ni lazima kutimizwa [a] wajibu [b] maamu [c] demokrasia[ ]
5. Jukumu la ulinzi na usalama ni [a] baba [b] wanafamilia wote [c] wazazi wote [ ]
6. Bendera ya Rais ina alama ya …….katikati
[a] jengo la Ikulu [b] Twiga [c] Nembo ya taifa [ ]
7. Bendera ya Rais ina rangi gani…..[a] kijani [b] njano [c] nyeusi na nyekundu [ ]
8. Bendera ya taifa ina rangi ngapi? [a] sita [b] nne [c] tano [ ]
9. Nembo ya Taifa ina picha ya [a] wanaume tu [b] jembe na mkuki [c] mwanamke,
mwanaume, jembe na shoka [ ]
10. Ulinzi ni…..[a] kujikinga na maadui [b] kutulia nyumbani [c] kutotembea usiku[ ]

JAZA NAFASI WAZI


11. Kila mwanafamilia ni………….wa mali za familia
12. Shoka ni kielelezo cha……………….
13. Mkuki ni kielelezo cha…………………
14. Mwenge ni kielelezo cha…………………
15. Bendera ni kielelezo cha……………

ANDIKA KWELI AU SI KWELI


16. Bendera ya Taifa ina rangi ya njano………………………………….
17. Fedha zetu ni sarafu tu……………………………
18. Demokrasia ni mfumo wa Serikali……………………………
19. Ni makosa kuchoma, kuchora fedha za Tanzania……………………………
20. Usalama ni hali ya kuwepo kwa hatari au matatizo……………………………

OANISHA SEHEMU A NA SEHEMU B


SEHEMU A JIBU SEHEMU B
21. Mwalimu mkuu [ ] A. Mfumo wa serikali unaoshirikisha
22. Kusoma kwa bidii [ ] wananchi
23. Demokrasia [ ] B. Kusimamia majukumu ya shule
24. Ni rangi ya uoto na mimea yetu [ ] C. Wanafunzi
25. Bendera [ ] D. Ni kielelezo cha utaifa wetu
E. Kijani

MTIHANI WA HAIBA NA MICHEZO DARASA LA III


UHURU SHULE YA MSINGI – MUHULA WA II NOV, 2014

CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Matendo yanayoharibu maadili ni kushirikiana na watoto
[a] wezi [b] wema [c] wazuri [ ]
2. Wazazi kuonyesha tabia mbaya nyumbani watoto wanaweza kuiga tabia
[a] mbaya [b] nzuri [c] kwake [ ]
3. Wazazi kuonyesha tabia mbaya nyumbani watoto hatawaheshimu wala………wazazi
[a] kuwatii [b] kuwasalimu [c] kuwaomba [ ]
4. Walimu kuonyesha tabia mbaya shuleni wanafunzi hawatawatii
[a] walimu [b] kuwasalimu [c] wanafunzi [ ]
5. Kushirikiana na watoto wavivu matatizo yake tutakuwa
[a] hutusomi [b] kutembea [c] kucheza [ ]
6. Kupokea vitu vya bure matatizo yake tutakuwa na mioyo ya
[a] tamaa [b] mbaya [c] mzito [ ]
7. Kuangalia michezo mibaya kwenye televisheni matatizo yake ni tutachelewa
[a] kulala [b] kusoma [c] kucheza [ ]

JAZA NAFASI ZILIZO WAZI


Tuvae nguo zinazofaa ili kutunza heshima nguo hizo ziwe
8. Ziwe……………………
9. Zisiwe na……………………………….sana.
10. Ziwe safi na zipigwe………………………
11. Zisiwe zinaonyesha sehemu za…………..ya mwili
12. Tunawasiliana ili kutoa…………………fulani
13. Mambo gani yanayofanya mawasiliano yawepo kuwe na……………kuwasiliama
14. Kuwepo na ujumbe na jambo la……………………..
15. Kuwepo na mtu au njia ya kuwakilisha ujumbe mahali…………..

Mambo yanayoharibu uhusiano mwema shuleni tusiposhirikiana na wenzetu katika


16. ………………………..
17. ………………………..
18. Ushirikiano na watoto wadokozi matatizo yake ni …………………………………
19. Ushirikiano na watoto wazururaji matokeo yake ni …………………………………
20. Kupewa usafiri wa bure matatizo yake ni …………………………………
21. Taja mtu unayewasiliana naye………………………………………………

HASARA ZA KUTOKUWA MBUNIFU


22. Tutashindwa………………….mambo ya kuendeshaleza
23. Tutashindwa kufanya……………… wa busara
24. Hatutafanya shughuli za kutuingizia……………
25. Tutakosa kuwa na uwezo wa…………………

MTIHANI WA TEHAMA DARASA LA III


UHURU SHULE YA MSINGI – MUHULA WA II NOV, 2014

CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI


1. Barua za……….ni barua ambazo watu huandikiana kuelezana mambo mbalimbali ya kirafiki
[a] kikazi [b] kirafiki [c] kiofisi [ ]
2. Baragumu ni chombo cha kutoa sauti yenye …….maalumu
[a] taarifa [b] mawasiliano [c] ujumbe [ ]
3. Ngoma ni chombo cha…….. [a] burudani [b] kudunda [c] kuchezewa [ ]
4. Barua, redio, magazeti, simu, runinga ni mawasiliano ya
[a] asili [b] kisasa [c] kizungu [ ]
5. Vipeperushi na mabango hutumika kwa
[a] matibabu [b] mawasiliano [c] huduma [ ]
6. Barua za kikazi ni barua ambazo zinaandikwa kuwasilisha
[a] taarifa au maendeleo [a] matangazo [c] taarifa au msaada [ ]
7. Kompyuta ni njia ya kutumia baraua kwa kutumia mfumo wa mtandao wa
[a] intaneti [b] simu [c] meli [ ]
8. Mdundo wa ngoma huwa na maana [a] muhimu [b] maalumu [c] kubwa [ ]
9. Faksi na telegram hutumika kusafirisha ujumbe kwa kutumia
[a] redio [b] televisheni [c] posta [ ]
10. ......................…….ni simu ya kuanda ujumbe

SEHEMU C: KUJAZA SEHEMU WAZI


Orodhesha aina mbili za barua
11. ………………………………
12. ………………………………
13. Kuna aina………………za baragumu

Ukimaliza kuandika barua, lazima, uiweke


14. kwenye……………………………… 15. Na ubandike………………………juu

SEHEMU C: ANDIKA NDIYO AU HAPANA


16. Mwitiko ni upokeaji wa mwito au habari……………………………………
17. Kuna aina mbili za miitiko……………………………
18. Yowe ni kilio cha hali ya juu sana ……………………………
19. S. L. P. ni kifupi cha sanduku la posta……………………………
20. Mawasiliano ya kisasa yamevuruga mawasiliano ya asili……………………………

SEHEMU D: OANISHA SEHEMU ‘A’ NA ‘B’


ORODHA A’ JIBU ORODHA ‘B’
21. Mtu anaweza kutuma barua [ ] A. baragumu
22. Huweza kutuma maneno ujumbe pamoja na picha [ ] B. kukataza kitu (onyo)
23. Hupatikana posta tu [ ] C. stampu
24. Ilani [ ] D. faksi
25. Hutumika kwa kupuliza [ ] E. kwa njia ya vyomb ovya usafiri

MTIHANI WA HISTORIA DARASA LA III


UHURU SHULE YA MSINGI – MUHULA WA II NOV, 2014

SEHEMU A: CHAGUA HERUFI YA JIBU SAHIHI


1. Kitu chochote kinacholiwa ambacho hupatia mwili nguvu huitwa
[a] ugali [b] wali na mboga [c] chakula [ ]
2. Furaha na shedracki ni watoto wa familia moja. Furaha humwita Shedraki
[a] kaka [b] dada [c] mjomba [ ]
3. Wajibu wa mwanafamilia ni pamoja na
[a] kucheza michezo [b] kutunza mali ya familia [c] kutopenda kufanya kazi [ ]
4. Chimbuko la familia ni [a] babu [b] bibi [c] baba [ ]
5. Nyumba nzuri na salama ni ile yenye
[a] nafasi ya kutosha [b] watoto watulivu [c] baba na mama [ ]
6. Njia mojawapo ya kupata vyakula ni
[a] kutafuta [b] kulima na kununua [c] kuomba [ ]
7. Kuna aina………za familia [a] tatu [b] nne [c] tano [ ]
8. Kitindamimba ni
[a] mtoto wa kwanza kuzaliwa [b] mtoto wa mwisho kuzaliwa [c] mzuri na mrefu[ ]
9. Familia yenye baba au mama na watoto tu huitwa
[a] familia pana [b] familia ya baba / mama na watoto [c] familia ndogo [ ]
10. …..ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu [a] nyama [b] matibabu [c] chakula[ ]

SEHEMU B: JAZA NAFASI WAZI


Orodhesha sherehe mbili unazozifahamu wanazoshirikiana wanaukoo siku hizi
11. …………………………….. 12. ……………………………..

Dada wa baba yako utamwita ………………………………..…….


Kaka wa mama yako utamwita…………………………………….
Bibi ni mama wa mama yako au…………………………………..

SEHEMU C: OANISHA
ORODHA ‘A’ JIBU ORODHA ‘B’
13. Vyakula vinavyotokana na mimea [ ] A. hauna chanjo wala tiba
14. Njia za kupata mahali pa kuishi [ ] B. muunganiko wa vitongoji
15. UKIMWI [ ] C. una tiba na chanjo
16. Kuwinda, kuokota matunda na [ ] D. muungano wa vijiji
kuchimba mizizi E. njia ya kupata chakula
17. kijiji [ ] F. ndizi, mananasi na mahindi
G. kujenga, kununua

SEHEMU D: ANDIKA NDIYO AU HAPANA


18. Katika ukoo kila mtu ni kiongozi……………………………..…
19. Watoto hawatakiwi kufanya kazi zozote nyumbani……………………………..…
20. Kijiji zaidi ya kimoja huunda kitongoji……………………………..…
21. Familia za kale zilikula nyama za kupika……………………………..…
22. Mifugo mingi katika eneo huathiri mazingira……………………………..…

MTIHANI WA SAYANSI DARASA LA III


UHURU SHULE YA MSINGI – MUHULA WA II NOV, 2014
CHAGUA HERUFI YENYE JIBU SAHIHI
1. Nyenzo zimegawanyika katika makundi… [a] mawili [b] matano [c] matatu [ ]
2. Wanyama wanaoishi kwenye udongo ni
[a] mchwa na minyoo [b] chura na mamba [c] binadamu [ ]
3. Chombo kinachopima joto la vitu huitwa [a] meta [b] themometa [c] kilogram [ ]
4. Mhogo, viazi mviringo, mahindi ni vyakula vya
[a] protini [b] vitamin [c] kabohaidreti [ ]
5. Unaweza kuozesha meno yako unapokula
[a] biskuti na keki [b] peremende na matunda [c] sukari na nyama [ ]
6. Sehemu zenye hewa safi ni
[a] bondeni kulikotulia [b] ufukwe wa bahari na bustani [c] wakati wa mvua [ ]
7. Tunahisi radha ya vitu kwa kutumia [a] pua [b] ngozi [c] ulimi [ ]
8. Katika uchunguzi wa kisayansi kuna vipimo vya aina mbili, navyo ni……..na…….
[a] vipimo rasmi na visivyo rasmi [b] vipimo halisi na vipimo vya kisayansi
[c] vipimo vya juu na chini [ ]
9. Nyenzo kiwango cha tatu…….huwa katikati ya mzigo na jitihada
[a] jitihada [b] egemeo [c] mzigo [ ]
10. Joto la jua hutufikia kwa njia ya [a] msafara [b] mpitisho [c] mnururisho [ ]

SEHEMU B: JAZA NAFASI WAZI


Taja sehemu kuu tatu za wenzo
11. ……………………… 12. ……………………… 13. ………………………

Kuna makundi makuu mawili ya viumbe hai, nayo ni


14. …………………………………… 15. ……………………………………

SEHEMU C: ANDIKA NDIYO AU HAPANA


16. Samaki, mayai, nyama, maharage ni vyakula vya protini……………………
17. Vifaa vinavyotumia umeme ni redio, pasi, mkasi na feni…………
18. Sumaku hutumika katika dira, milango ya friji na dainamo ya baiskeli………
19. Mwanga husafiri katika mstari uliojipinda……………..
20. Jua ni chanzo kikuu cha joto…………..

SEHEMU D: OANISHA ORODHA ‘A’ NA ‘B’ KUPATA JIBU


ORODHA ‘A’ JIBU ORODHA ‘B’
21. Haipitishi joto kwa urahisi [ ] A. huzama majini
22. Mwangwi [ ] B. ukimwi
23. Kupiga pasi nguo [ ] C. kuondoa mikunjo na kuua wadudu
24. Bakuli na kifuniko cha chupa [ ] D. huelea majini
25. Ugonjwa usio na chanjo wala tiba [ ] E. plastiki, nguo, karatasi
F. sauti iliyoakisiwa
G. taiphodi
MTIHANI WA MUHULA WA II – NOVE, 2014
HISABATI DARASA LA III – UHURU SHULE YA MSINGI

ANDIKA KWA MANENO 17. 3)126


1. 505 =
2. 8605 =
NI SEHEMU GANI IMETIWA KIVULI?
ANDIKA KWA TARAKIMU
18. ……………………….
3. Elfu tisa na thelathini na tano
4. Elfu saba, mia sita na mbili =
5. Mia tatu hamsini na moja =
6. Themanini na nne =
7. 275 + 16 =
8. 478
19. ……………………….
+391
____

9. 331 + 2345 + 3043 = 20. ……………………….

10. 6431 21. Sh


-1615 7320
_____ +1500
______
11. 5665 – 4847 =

22. Kuna noti ngapi za 1000 katika noti za


ANDIKA NAMBA INAYOFUATA shilingi 10,000 moja?
12. 13, 26, 39, _______ 23. Chora uso wa saa kuonyesha saa nne na
13. 12 x 3 = dakika thelathini
14. 68 24. Adamu alijaza manyoya yenye kilogramu
x12 moja na Asha alijaza mchanga kilogram
___ moja, Je, nani alikuwa na vitu vizito
zaidi?
15. 20 ÷ 5 =
25. Lipi ni umbo pembetatu?
16. 400 ÷ 2 =

A C
B
UHURU SHULE YA MSINGI
MTIHANI WA JIOGRAFIA DRS LA III MUHULA WA II-2014

CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Mahitaji muhimu wapatayo viumbehai kutoka kwenye mazingira ni
[a] maji, mimea [b] chakula na maakzi [c] uchumi [ ]
2. Ardhi ni muhimu sana kwa
[a] kilimo na mifugo [b] makazi mashamba [c] madhari [ ]
3. Misitu [a] huvuta mvua na kuboresha hali ya hewa
[b] muhimu sana [c] makazi ya viumbe [ ]
4. Vyanzo vikuu vya maji katika mazingira ni
[a] maziwa na bahari [b] milima [c] chemchem, mito visima [ ]
5. Hewa hutumiwa na
[a] binadamu na mimea [b] binadamu wanyama na mimea [c] wanyama na hewa[ ]

JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI


Faida tatu tupatazo kutokana na misitu ni
6. ………………………..
7. ………………………..
8. ………………………..

Andika matumizi ya maji


9. ………………………..
10. ………………………..
11. ………………………..

JIBU MASWALI HAYA KWA KUJAZA NAFASI ZILIZO WAZI


Njia mbili za kuzuia uchafuzi wa vyanzo vya maji ni
12. ……………………….. 13. ………………………..

Faida mbili za wanyamapori


14. ……………………….. 15. ………………………..

Andika kweli au si kweli


16. Kiumbe yeyote anaweza kuishi kwenye mazingira yoyote………….
17. Mazingira ya kifaru ni kwenye maji na nchi kavu………………
18. Moshi unaotoka kwenye magari na mitambo huharibu mazingira…………………..
KITU KINACHOONEKANA ALAMA
19. Barabara …………………………………………….
20. Daraja …………………………………………….
21. Kisima …………………………………………….
22. Msikiti …………………………………………….
23. Mlima …………………………………………….
24. Kanisa …………………………………………….

UHURU SHULE YA MSINGI


ENGLISH EXAMINATION SECOND TERM 2014

SECTION A: DICTATION
1. …………………………………………
2. …………………………………………
3. …………………………………………
4. …………………………………………
5. …………………………………………

CHOOSE CORRECT ANSWER


6. She play netball………..[a] every evening [b] Monday [c] Nyerere day [ ]
7. Mariam sometime…………hard [a] very [b] work [c] soon [ ]
8. Martin…………….to music every Saturday [a] play [b] dances [c] dance [ ]
9. I go to school…………. [a] every day [b] tomorrow [c] yesterday [ ]
10.It plays in the garden…… [a] yesterday [b] everyday [c] tomorrow [ ]

FILL IN THE BLANKS USING CORRECT WORD FROM SECTION ‘B’ THE
BLACKETS
Write, speak, football, play, my sister
11.He…………………………..good English
12.You…………………….….French everyday
13.Asha………………..…..netball every well
14.……………………………cook some food
15.Juma Play……………………everyday

SECTION C: WRITE THE FOLLOWING NUMBERS IN FIGURE


16.Twenty six…………………………………………
17.Thirty one………………………………
18.Twenty seven………………………………
19.One hundred………………………………
20.Thirteen………………………………
SECTION D: USE DO OR DOES TO FILL IN THE BLANKS
21.………………………you know how to count?
22.………………………she know how to read?
23.………………………they understand?
24.……………………Abdu go with us to school everyday
25.…………………..he play with you everyday

UHURU SHULE YA MSINGI


MTIHANI WA STADI ZA KAZI DARASA LA III MUHULA WA II-2014

1. Picha za njiti huchorwa kwa….[a] mistari [b] vipande vipande [c] kuunga[ ]
2. Kuna aina ngapi za udongo [a] saba [b] tatu [c] nne [ ]
3. Ukili hutumika kutengeneza [a] hereni [b] viatu [c] mkeka [ ]
4. Kuna aina ngapi za picha [a] mbili [b] tano [c] nne [ ]
5. Kifani cha nyumba hutengenezwa kwa [a] waya [b] boksi [c] karatasi [ ]
6. Upambaji ni
[a] vitu mbalimbali [b] kuumba kitu [c]kunakshi vitu vilivyotengenezwa [ ]
7. Tunapaka rangi picha ili [a] pendeze zaidi [b] iongezeke ukubwa [c] idumu[ ]
8. Ufinyanzi ni
[a] kunaksi kitu [b] kuumba kitu kwa kutumia udongo [c] kuchezea udongo[ ]
9. Kutunga shanga ni
[a] kuzitundika juu [b] kuzitoboa toboa [c] kuziingiza kwenye uzi [ ]
10.Kughani maana yake ni [a] kuimba [b] kuchora [c] ngoma [ ]

JAZA NAFASI ZILIZO ACHWA WAZI


11.Vifaa vya kushonea ni ………………………, ……………………..
12.Udongo wa…………….hutumika kutengeneza vitu mbalimbali
13.Kuna hatua………………..za kutengeneza bahasha
14.Kuna aina ngapi za rangi………………………………
15.Ukitengeneza chungu utatumia udongo wa………………………..

ANDIKA KWELI AU SI KWELI


16.Kughani ni kuimba…………………………
17.Kutatengeneza gari kwa kutumia udongo mfinyanzi………………….
18.Tunaweza kusuka mkeka kwa kutumia majani ya mgomba……………….
19.Makunzi husaidia kupendezesha picha au mchoro……….
20.Gundi hutumika kugandishia vitu mbalimbali…………………………

OANISHA SEHEMU A NA B
SEHEMU ‘A’ JIBU SEHEMU ‘B’
21.Ngonjera [ ] A. ala za muziki
22.Ukimwi [ ] B. huchorwa kwa kuungwa
23.Ngoma, zumari, filimbi [ ] C. hupatikana udongo mfinyanzi
24.Kwenye kichuguu [ ] D. hutanuka kutengeneza kikapu au mkeka
25.Picha za bapa [ ] D. huburudisha na kuelimisha

UHURU SHULE YA MSINGI


MTIHANI WA KISWAHILI DARASA LA III MUHULA WA II-2014

CHAGUA JIBU SAHIHI


1. Ahadi……………………………………….. [ni ahadi, ni deni]
2. Haraka haraka……………….…….…………baraka [ndiyo, haina]
3. ………………………….……yaumiza matumbo [harakaharaka, ngojangoja]
4. ……………………………...hula mbivu [mvumilivu, mroho]
5. Siku za mwizi……………………..………… [zimefika, ni arobaini]

TEGUA VITENDAWILI VIFUATAVYO


6. Mjomba hataki tuonane…………………………..
7. Askari wangu ni mpole lakini adui wanamhara…………………………..
8. Kilemba chake haazimishi…………………………..
9. Kila niendapo ananifuata…………………………..
10.Utupacho wewe kwake ni dhahabu…………………………..

OANISHA NAHAU ZIFUATAZO NA MAANA ZAKE


NAHAU JIBU MAANA
11.Piga hodi ………………kupata faida
12.Njia panda bei kubwa
13.Zaa faida kuomba ufunguliwe
14.Bei nafuu kusafiri
15.Bei ghali makutano ya njia
16.Funga safari bei ndogo

ANDIKA WINGI WA MANENO YAFUATAYO:


17.Jembe…………………………..
18.Mti…………………………..
19.Kitunguu…………………………..
20.Mto…………………………..

ANDIKA KINYUME CHA MANENO HAYA


21.Mbele………………………
22.Juu………………………
23.Kaka………………………
24.Baridi………………………
25.Msichana ………………………

You might also like