You are on page 1of 1

FRANSALIAN MISSION SCHOOL, BOMBAMBILI

ENGLISH MEDIUM PRE & PRIMARY SCHOOL


P.O. Box 75652, Dar es Salaam. Tel: 0784 377306, 0758 204865
Email: fransalianb2@gmail.com, Website: www.sfs.sc.tz

ZOEZI LA KUKUSANYA MAONI KWA WAZAZI


Ndugu mzazi,
Tumepokea maombi mengi kutoka kwa wazazi ya kua watoto wabaki shuleni kusoma mpaka saa
9 kamili mchana. Hivyo tunapenda kupokea maoni kutoka kwa kila mzazi kuhusiana na
mabadiliko haya. Kwakua watabaki shuleni mpaka saa tisa mchana , itapaswa wapatiwe chakula
cha mchana hapa shuleni. Hivyo kama unakubaliana na mabadiliko haya tunaomba uweke alama
ya vyema katika kisanduku husika.
NDIO HAPANA

NB: Kwakua garama ya chakula ya awali haikujumuisha chakula cha mchana hivyo kiasi cha
shilingi 75,000 kitaongezeka kwa muhula ili kuwawezesha watoto kupata chakula cha mchana
shuleni na hivyo kuweza kubaki kusoma shuleni mpaka saa 9 kamili mchana.
Tunaomba barua hizi za maoni zirudishwe na watoto shuleni siku ya ijumaa. Asante

MAONI MENGINE
………………………………………………………………………………………………………
Wasalaam,

…………………………………….
Rev. Sr. Bindu Puthenpurakkal Alexander (Mwalimu Mkuu)

You might also like