You are on page 1of 10

1

1.0

ANDIKO LA MRADI WA KUTOA MAFUNZO YA KUOTESHA NA KUPANDAMITI KATIKA


WILAYA YA SINGIDA
1.1

Jina la Mradi
:KUTOA ELIMU YA KUOTESHA, KUPANDA MITI NA KUENDELEZA MISITU KATIKAWILAYA YA
SINGIDA KWA AJILI YA KUONGEZA MAZAO YA MISITU, KUONGEZAUFANISI KATIKA MATUMIZI
ENDELEVU YA MISITU NA KUBORESHA MAISHA YA
JAMIIKUTOKANANAMAZAOYAMISITUKWAKIZAZIKILICHOPONAKIJACHO’

1.2

Jina na Anwani ya Mwombaji


:WIRWANA ASSOCIATION FOR DEVELOPMENT AND EMPOWERMENT (T)
LTD(WAENDELEE)S.L.P 108, SINGIDABarua pepe: wirwanayetu@gmail.com Simu: 0784 565 576,
0759 770 233
1.3

Jina
n
a sifa ya Mwunganishi
:RAJABU AHMED MUMBEE, Mratibu wa Misitu na Mazingira wa Wilaya. Ni mhitimuwa Chuo kikuu
Cha Kilimo Sokoine(SUA), ana Shahada ya Sayansi za Mazingira nausimamizi. Ni mfano na kielelezo
katika ubunifu wa miradi ya Mazingira na kudhibitimabadiliko ya Tabia nchi.
1.4

Mahali Mradi utakapotekelezwa


: Wilaya ya Singida
1.5

Eneo la kipaumbele lipendekezwalo


: Kutoa elimu kwa wanavikundi na Kuboresha vitaluvya kuoteshea miche kwa kununua vitendea kazi.
1.6

AinayaRuzukuinayoombwa
: Ruzuku ya kati.
1.7

Uwezeshwajiunaoombwa:
Kuwezesha wawakilishi wa vikundi vinavyosimamia vitaluvya kuotesha miti kupata mafunzo ya namna ya kuotesha mbegu
na kuhudumia miche
mpaka kufikia hatua ya kupandwa pamoja na mafunzo ya uhifadhi misitu na mazingira kwaujumla. Pia kununua baadhi ya
vitendea kazi vya bustani.
1.8

Aina ya uwezeshwaji unaoombwa:


Gharama za semina kama usafiri kwa wanasemina nawawezeshaji, chakula na chai, malazi na kununua vitendea kazi
vya bustani za miche.
1.9

Mantiki na uthibitisho wa kuwa na Mradi:


Katika miongo ya hivi karibuni kumekuwa na uharibifu mkubwa wa misitu katika wilaya yaSingida
uliosababishwa na ukataji ovyo wa miti, matumizi mabaya ya ardhi, ufyekwaji nauchomwaji wa misitu
kwa ajili ya kilimo na ukataji wa miti ovyo kwa ajili ya kuni na mkaa. Halihii imesababishwa na elimu
duni katika jamii kuhusu umuhimu wa kutunza misitu na mazingirakwa ujumla. Pia ukosefu wa maji,
mavuno ya kutosha ya mazao ya chakula, biashara pamoja namazao ya misitu ni miongoni mwa matokeo
hasi yanayoikabili jamii ya wilaya ya Singidakutokana na uharibifu huo wa misitu na mazingira.Kutokana
na changamoto hii, taasisi ya WAENDELEE ilianzisha mradi wa kuotesha na kupandamiti katika eneo
lote la wilaya ya Singida mwaka 2015. Mradi huu umelenga kupanda miti kwawingi ili kuifanya wilaya
ya Singida kuwa ya kijani kwa ajili ya kuongeza mazao ya misitu nakuongeza ufanisi katika matumizi
ya mazao ya misitu kwa kizazi kilichopo na kijacho.
1.10 Malengo ya Mradi na viashiria vya utendaji:
(i)

Kutoa elimu na uelewa wa uoteshaji, utunzaji miti na mazingira kwa ujumla kwa jamiikatika maeneo
yatakayopandwa miti.(ii)

Kuongeza uoto wa asili utakaombatana na upatikanaji endelevu wa mazao ya misitu.(iii)

Kutoa hamasa ya matumizi endelevu ya misitu na mazao yatokanayo na misitu kamavile kufuga nyuki.
(iv)

Kuongeza mazao yatokanayo na misitu kwa ajili ya kunyanyua kipato kwa jamii.

3
1.11 Matokeo yanayotarajiwa kutoka kwenye Mradi
(i)

Kurudisha uoto wa asili uliokuwepo siku na miaka ya nyuma na kuboresha upatikaji wamazao ya misitu,
nishati,mvua na maji.(ii)

Kuongeza kipato kwa wanajamii wa Singida Vijijini kupitia mazao ya misitu, ufugajiwa nyuki lakini pia
shughuli za kilimo na ufugaji zitaboreka zaidi.(iii)

Kuweka mfumo endelevu wa wanajamii wote wa Singida wa kutunza mazingira kupitiavikundi


mbalimbali kama shule, SACCOS, vijana, akina mama n.k.(iv)

Kuimarika kwa afya na kuondoa maradhi ambayo yanaweza kuzuilika kwa kuimarikakwa mazingira.
1.12

Watakaonufaika na Mradi:
Mahitaji ya kuendeleleza mazingira ya Wilaya ya Singida ni muhimu kwa wananchi wote waWilaya.

Wanavikundi 2848 watanufaika moja kwa moja kwa kupata elimu ya uoteshaji nautunzaji wa bustani za
miti.

Wanufaikaji wasio wa moja kwa moja, hawa ni wananchi wa Wilaya ambao ndiyowatakuwa wapandaji
wa miti na watanufaika kwa kuimarika kwa misitu na mazingira.Mradi huu utaongeza upatikanaji wa
maisha bora kwa wananchi wote kwa uboreshaji wamazingira na misitu ambao utaongeza ubora wa
maisha.

Kuongeza vizuizi vya upepo ambavyo kwa namna nyingine vitapunguza mmomonyokowa udongo na
uharibifu wa mazao.
Unlock this document
Read and download full documents.
Subscribe with a free trial
OR
Unlock this page after an ad
9

4

Kuboresha maisha/kipato cha wanajamii kwa kuuza matunda kama machungwa, maembe pamoja na
mazao mengine ya misitu kwa mfano asali.

Kuongeza uelewa na ufahamu wa masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa kwa wanajamiina kutoa
mchango wa kuimarisha na kupunguza athari dhidi ya mabadiliko ya hali yahewa.
1.13 Jumla ya kiasi kinachoombwa kutoka kwenye Mfuko (Sh): 20,000,0001.14 Michango mingine ikiwemo ya
hali na mali (Sh): 1,000,0001.15 Muda wa kutekeleza Mradi na mwezi utekelezaji utakapoanza:
Mradi wa kuotesha na kupanda miti umeanza toka mwezi August kwa kuanzisha bustanimbalimbali
Wilaya nzima ya Singida na kupatikana miti iliyopandwa kipindi cha 2015/2016 chamvua. Mradi
uliwezeshwa na wanachama wa asasi na tunategemea kuendelea kuotesha miti kwaajili ya kupanda
msimu wa mvua wa 2016/2017. Malengo ya asasi ni kuhakikisha uoto unaeneaWilaya nzima na
inakusudia kupanda miti 1,500,000 kila mwaka.
2. Ridhaa
(a). Mapendekezo ya Mkuu wa Taasisi zinazo/inayoomba
Maoni
: Mradi wa upandaji miti kwa Wilaya ya Singida umeanza tangu 2015. Hata hivyo
mradi bado unahitaji uwezashwaji wa ruzuku ili kutawezesha kufanikisha malengo na azma yakuboresha
mazingira na misitu kwa ufanisi zaidi.Jina:_
HARUNA SUMWA
Cheo:_
KAIMU MTENDAJI MKUU
Muhuri rasmi:_________Saini:____________________________Tarehe:____________________(b)
Mapendekezo ya Kijiji/ Mtendaji Kata/ Mtaa (ambapo Mradi
utakapotekelezwa).Maoni:______________________________________Jina:______________________
______ Muhuri:________________________Saini: ____________________________
Tarehe:___________________________(c) Mapendekezo ya Mkurugenzi wa Halmashauri utakapokuwa
Mradi:
Unlock this document
Read and download full documents.
Subscribe with a free trial
OR
Unlock this page after an ad
10

5
Maoni:____________________________________________Jina : __________________________
Muhuri: _________________Saini:___________________Tarehe:______________________
3.0 MATINI KUU3.1 Muhtasari wa Mradi
Kwa milongo michache iliyopita Wilaya ya Singida Vijijini imekuwa na ukataji wa mitiusioelezeka,
kama matokeo ya matumizi mabaya ya ardhi,Mradi wa kuotesha na kupanda miti katika wilaya ya
Singida umepewa kipaumbele na taasisiya WAENDELEE kutokana na hali mbaya ya uharibifu wa misitu
na mazingira kwa ujumlakatika wilaya ya Singida. Mradi huu umekusudia kurudisha hali ya uoto wa
misituiliyokuwepo kabla ya uharibifu holela wa misitu kutokea katika wilaya ya Singida kutokanana
ongezeko la watu na uhitaji mkubwa wa shughuli za kiuchumi kuongezeka. Ukosefu waelimu ya uhifadhi
wa misitu na mazingira pia vimechangia kwa kiasi kikubwa katikauharibifu wa misitu na uoto wa
asili. Pia mradi huu unatajiwa kusaidia kupunguza na hatakuondoa msukumo mkubwa wa jamii katika
kuvamia maeneo ya hifadhi za misitu na vyanzovya maji vilivyobaki kwani kukiwa na miti wananchi
watakuwa na uwezo wa kupatanishati(kuni na mkaa) na mazao mengine ya misitu kama asali kutokana na
miti iliyopandwana kuepuka kuvamia na kuharibu hifadhi za misitu ya asili. Aidha mradi unatarajiwa
kusaidiakupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kuimarisha hali ya hewa na mazingira.
Hivyoshughuli zingine za kiuchumi pia zitaimarika kutokana na kuimarika kwa mazingira.
Unlock this document
Read and download full documents.
Subscribe with a free trial
OR
Unlock this page after an ad
10

6
3 . 2 U t a n g u l i z i
Mradi wa uoteshaji na upandaji miti chini ya asasi ya WAENDELEE ni mradi endelevu ambaoutafanyika
kwa muda usiopungua miaka kumi. Mpango wa asasi ni kufikia uwezo wa kuoteshana kupanda miti 1,
500,000 kila mwaka. Kwa msimu wa kwanza wa mradi (2015/2016) asasiimefanikiwa kupanda miti
160,000 katika maeneo mbalimbali ya Wilaya kwa kushirikiana navikundi/vitalu 13 vilivyoanzishwa
wilayani. Kwa msimu wa pili wa mradi (2016/2017) asasiimefanikiwa kuongeza vikundi/vitalu hadi
kufikia 48 ambavyo vinataratajiwa kuotesha miti 1,300,000Mradi wa kuotesha na kupanda miti
ulianza Agosti 2015 mara tu baada ya taasisi yaWAENDELEE kuanzishwa na kusajiliwa. Katika
kuongeza ufanisi taasisi ya WAENDELEEkwa sasa inatilia mkazo suala la kuipatia jamii elimu kwa
kupitia vikundi na wadaumbalimbali kwani suala la elimu ni la muhimu na ndio msingi katika
kufanikisha malengo yamradi huu.Mradi wa kuotesha na kupanda miti ni endelevu na lengo kuu ni
kuifanya Wilaya ya Singidakuwa ya kijani
3.3 Azma na madhumuni ya mradi na matokeo yanayotarajiwa
Azma ya mradii huu ni kuboresha shughuli za uoteshaji miti katika vikundi/vitalu kwakuwapatia
wawakilishi wa vikundi/vitalu elimu juu ya njia au mbinu sahihi ya uoteshaji miti na jinsi ya kuitunza
mpaka kufikia katika hatua ya kupandwa. Pia watajifunza jinsi ya utunzaji wamisitu, matumizi endelevu
ya rasilimali misitu na utunzaji wa mazingira kwa ujumla wake.Wawakilishi 96 kati ya
wanufaikaji(wanavikundi) 4848 wa moja kwa moja watapata mafunzohayo. Aidha mradi huu utasaidia
kuboresha vitalu vya kuoteshea miche kwa kuongeza baadhi yavitendea kazi katika bustani husika. Mradi
utasaidia kuboresha maisha ya jamii kwa kuwapatia,elimu, ajira katika vitalu na pia ujira katika uuzaji wa
miti hiyo.Mwisho wa mradi tunatarajia kwamba, uzalishaji wa miche ya miti utaongezeka na
kuborekakutokana na elimu itakayotolewa. Pia elimu juu ya upandaji miti, utunzaji na utumiaji
endelevuwa rasilimali misitu itafika kwa jamii nzima kwa ujumla kupitia wanavikundi
watakaopatamafunzo. Mwisho wa mradi jamii itapata mwamko wa kupanda miti kwa wingi na kuitunza
kwaajili ya manufaa ya kizazi kilichopo na kijacho.
Unlock this document
Read and download full documents.
Subscribe with a free trial
OR
Unlock this page after an ad
10

7
3 . 4 M b i n u z a k u t e k e l e z a m r a d i
Zifuatazo ni mbinu za kutekeleza Mradi.

Kuwapatia viongozi wa vikundi Mafunzo juu ya usimamizi wa vikundivinavyojishughulisha na upandaji


wa miti na namna ya kutekeleza sheria ndogo ndogoza misitu na mazingira.

Kuwashirikisha viongozi wa Kata zote za wilaya ya Singida pamoja na wataalamu wamisitu Wilaya juu
ya utekelezaji wa mradi ili kuweza kupata michango mbali mbalikutoka kwao.

Kuimarisha ushiriki wa vikundi vyote vinavyojihusisha na shughuli za upandaji miti.


Kushirikiana na uongozi wa vijiji kwa ajili ya kuandaa mpango wa usimamizi waMisitu pamoja na sheria
ndogo ndogo za Misitu.
3.5 Vichocheo Vikuu vya Mafanikio
Vifuatavyo ni vichocheo vikuu vya mafanikio.

WAENDELEE inayo mpango wa kuifanya Wilaya ya Singida kuwa ya kijani kwakujikita katika utoaji
wa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa upandaji wa miti, mpakasasa Asasi hii imesaidia katika upandaji
wa miti zaidi ya miche 160,000 katika Wilayaya Singida. Miti hiyo imepandwa katika taasisi mbali mbali
ikiwemo shule za msingi naSekondari, Ofisi za vijiji, Zahanati na taasisi za kidini yaani Makanisa na
Misiki pamojana wananchi. Kutokana na mgawo wa miti hiyo imekuwa kichocheo na hamasa
kwawananchi katika kutekeleza azma ya mradi kwa ufanisi.

Kwa mafanikio hayo machache tungependa kuona kila kaya ilioko Wilaya ya Singidainapata uelewa juu
ya umuhimu wa kupanda miti na kuitunza, jambo ambalo litaigeuzaWilaya ya Singida kuwa ya kijani na
kuongeza mazao yatokanayo na misitu na piakuondokana na hali ya ujangwa kama ilivyo sasa.
Unlock this document
Read and download full documents.
Subscribe with a free trial
OR
Unlock this page after an ad
10

8
3.6 Mpango wa Uperembaji na Tathmini
Asasi ya WAENDELEE itafanya usimamizi na ufutiliaji wa karinbu katika kipindi chote
chamradi. Ufutiliaji utajumuisha usimamizi sahihi wa fedha ili kufikia lengo la mradi.
Tathminiya mradi itafanyika kwa parameta halisi na kulinganishwa ili kupata uwiano
sahihi wamabadiliko yaliyotokana na utekelezaji wa mradi. Mabadiliko hayo
yatapimwa kwakulinganisha parameta mbalimbali kabla na baada ya mradi kama vile
ongezeko la miche bora, uelewa wa wanavikundi kuhusu elimu ya umuhimu wa uhifadhi wa
mazingira n.k.
3.7

Mpango Endelevu wa Mafanikio ya Mradi


Baada ya mradi kumalizika jamii ya Wilaya ya Singida kwa ngazi ya Kata, Vijiji na Vitongojikutakuwa
na uelewa juu ya utunzaji wa misitu na umuhimu wa kupanda miti na kuitunza.Lakini pia mazao ya
Misitu yataongezeka kwa sababu jamii itakuwa tayari ilishapata uelewawa kutosha juu utunzaji wa misitu
na umuhimu wa upandaji miti.
Unlock this document
Read and download full documents.
Subscribe with a free trial
OR
Unlock this page after an ad
10

9
Kielelezo cha bajeti ya ruzuku ya kati
Kipengele/Shughuli Kizio Kiasi Gharama yakizio sh.Jumla ya gharamaSh.
Mafunzo ya kuotesha na kukuza michekwa siku tatu
Nauli ya kwenda na
kurudi mtu 96 14,000 1,344,000Malazi kwa siku tatu mtu 96 21,000 2,016,000Chakula kwa siku tatu-
chai, chakula chamchana na usikumtu 96 24,375 2,340,000Gharama ya ukumbi wa mafunzo kwasiku
tatuukum bi1 300,000 300,000Gharama ya wakufuzi wa semina kwasiku
tatumtu 4 450,000 1,800,000Gharama ya zana za kufundishia-kalamu kalamu100 500 50,000Gharama ya
ya zana za kufundishia-madaftariDaftari100 1,500 150,000
Jumla ndogo ya 40% ya awamu ya mwanzo ya mradi 8,000,000Gharama ya vifaa/vitendea kazi kwavikundi 48
vinavyotarajia kuoteshamiche zaidi-viriba na mbegu
Gharama ya kununua viriba kwa vikundi48kilo 294.6 10,000 2,946,000Gharama ya kununua mbegu aina
yagraveliakilo 24 55,000 1,320,000Gharama ya mbegu aina ya miti maji kilo 12 30,000 360,000Gharama
ya mbegu aina ya mijohoro kilo 24 20,000 480,000Gharama ya mbegu aina ya machungwa kilo 24 35,00
0 840,000

Unlock this document


Read and download full documents.
Subscribe with a free trial
OR
Unlock this page after an ad
10

Reward Your Curiosity

Everything you want to read.


Anytime. Anywhere. Any device.
Read free for 30 days
No Commitment. Cancel anytime.
Share this document

Share or Embed Document


Sharing Options

 Share on Facebook, opens a new window


 Share on Twitter, opens a new window
 Share on LinkedIn, opens a new window
 Share with Email, opens mail client
 Copy Link

You might also like


 Muhtasari Wa Mradi - Taff2018

Document5 pages
Muhtasari Wa Mradi - Taff2018
RajabMumbee
33% (3)

 Tff Cleopa Project(1).PDF Final

Document8 pages
Tff Cleopa Project(1).PDF Final
RajabMumbee
100% (1)

 andiko la mradi wa misitu.pdf

Document19 pages
andiko la mradi wa misitu.pdf
Aristeus Kamugisha
No ratings yet

 WAENDELEE MHT

Document4 pages
WAENDELEE MHT
RajabMumbee
No ratings yet

 Hotuba Ya Ufunguzi
Document8 pages
Hotuba Ya Ufunguzi
Hamza Temba
No ratings yet

 en-1592551864-NISHATI ENDELEVU

Document13 pages
en-1592551864-NISHATI ENDELEVU
Samwel
No ratings yet

 TAARIFA YA UFAFANUZI WA HABARI YA KUDHALILISHWA KWA MWALIMU MISUNGWI

Document9 pages
TAARIFA YA UFAFANUZI WA HABARI YA KUDHALILISHWA KWA MWALIMU
MISUNGWI
Ahmad Issa Michuzi
No ratings yet

 TAMKO LA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA)

Document10 pages
TAMKO LA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA
MAZINGIRA)
Othman Michuzi
No ratings yet

 Sauti ya Ilala

Document32 pages
Sauti ya Ilala
Ilala
No ratings yet

 Hotuba Ya Mkurugenzi Wa Misitu Na Nyuki Siku Ya Utundikaji Mizinga Wilaya Ya Itlima (2)

Document5 pages
Hotuba Ya Mkurugenzi Wa Misitu Na Nyuki Siku Ya Utundikaji Mizinga Wilaya Ya Itlima (2)
Hamza Temba
100% (1)

 Hotuba ya Makamu wa Rais kilele cha wiki ya maji.docx

Document5 pages
Hotuba ya Makamu wa Rais kilele cha wiki ya maji.docx
moblog
No ratings yet

 Hotuba Ya Nw- Mu Kutundika Mizinga Oktoba -2017 - Final by Nwmu

Document9 pages
Hotuba Ya Nw- Mu Kutundika Mizinga Oktoba -2017 - Final by Nwmu
Hamza Temba
No ratings yet

Show more

Related titles

You might also like