You are on page 1of 1

Watu wengi wanauficha wokovu wao kwa sabb hawaujui na hawajui uthamabi wa wokovu

wao ila wa imani nyingne Han Jiamin

Wokovu wako lazima uwe na tumaini,,mana wapo wengi Wana wokovu ila hauna tumaini
(tumaini lenye Baraka)
Chepeo yetu n tumaini lenye taraja
Kuokoka ni mwanzo wa safari
Mwenye kuvumilia ndie atakaye okoka _usikatishwe Tamaa na majaribu au changamoto
weka tumaini la wokovu mbele
.hatuna mji udumuo hapa duniani
..thamani ya kile Yesu ametupa pale msalabani hakilingani na chochote hapa duniani
>>math 24:42-45

Ukiokoka jiwekeni tayari,,wengi wameokoka ila hawajiweki tayar kwa ajili ya


safari ,,
Saa ya kuja kwa Yesu ni taifa la Israeli lazma ulitazame kibiblia ,,
Matendo 13;33
4.siku ya unyakuo mambo saba yatafanyika kwa siri kwa muda wa dakika moja
1).1cor 15:50-53 unyakuo utatokeo kwa dakika moja na hautazidi
1thesalonike 4;16-17
1).Bwana atashuka kutoka mbinguni..Saudi ya Yesu
2).kutatokea Sauti ya Malaika mkuu
3).parapanda ya Mungu itapigwa
4).waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza
Waliokufa katk kristo Wana mbegu ya ufufuo ya kristo ndani yao
5).TULIO HAI TUTANYAKULIWA
6).tutamlaki Bwana Hewani
7).tutakuwa na Bwana milele
>>usife mwenywe kuwa na mbegu ya kristo ndani yako .
1cor 15, tutabadilishwa ,kabla ya kunyakuliwa tutabadilishwa ,na tutapewa nguo
nyingine ..
>>Wokovu na tumaini la wokovu wako limekaaje ndo litaamua kama utanyakuliwa au
haunyakuliwi

You might also like