You are on page 1of 7

Sms 1: Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka

ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi? Sms 2: Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu. Sms 3: Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA Sms 4: Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema Sms 5: Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET" Sms 6: Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU" Sms 7: Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO" Sms 8: Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI Sms 9: Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema Sms 10: Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la

kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu Sms 11: Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU" Sms 12: Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?" Sms 13: Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU"

mtoto unajua kutabasamu maana kila nikiitazama picha yako napatwa na hamu ya ...., natamani kama ningekuwa ufukweni tukila upepepo mtamu huku tukipeana maneno matamu, kisha mzuka ukipanda tukatoane hamu au unasemaje? 1. Wangu kipenzi ninayekuenzi, jua wanitia uchizi na kuninyima usingizi, sijui kama una kizizi au ni mapenzi ndiyo yaninyima huo usingizi, la azizi nimekumiss kichizi, u hali gani mpenzi? 2. Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi! 3. Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda. 4. Mpenzi najua u-mbali nami, majaribu ni mengi wapaswa kujihami, nituniye zangu zabibu wangu tabibu, jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja kukutibu, miss u ma luv. 5. Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu, napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda. 6. Nimeamini wewew ni mtalam wajua kunitoa hamu, unipapasapo huhisi kupoteza fahamu, maneno yako matamu hunizidisha hamu, hakika wajua kunikamua, luv u. 7. Kuwa nawe najivunia, mtoto mapenzi wayajua, kiuno, sauti yako tamu mithili ya chiriki wajua hasa kuitumia, mua wangu wajua kuukamua, ukiniacha jua nitaumia, nakupenda usije niacha nitajiua!

8. Mambo yako adimu ndiyo yanayonipa wazimu, nikuonapo hupatwa hamu, hutamani unipatiye wako utamu, la azizini lini utakuja kunitoa hamu, hakika nimemiss wako utamu na kwa kuupata sifahamu maana ni wewe tu ndiyo mtaalamu. Miss u 9. Dear siku zimekaribia, miaka utatimiza katika hii dunia, hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi, zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi. Happy Birthday mpenzi. 10. Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi. 11. Siamini kilichotokea, hakika nimekukosea, lakini naapa katu sitorudia, upuuzi niliokufanyia, najua jinsi gani waumia ndiyo maana umeninunia, nisamehe mpenzi nafsi yangu ipate kutulia kwani bila wewe sin thamani katika hii dunia! 12. Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi! 13. Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani si wakwanza katika hii dunia, mpenzio kumfumania, wengi huwatokea katika hii dunia, tulia na vumilia Mungu atakupatia mpenzi aliyetulia, pole rafiki yangu klpenzi ndiyo mambo ya dunia! 14. Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa mwenye hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear? 15. Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani la azizi? 16. Nashukuru kwa yako dozi hakika katika mapenzi wewe ni mkufunzi, wajua bakora kuitumia, mpenzi usije ukawa na mwingine unayempatia, hakika nikijua nitaumia kama sikujiuam. Nnakupenda! 17. Wangu Malkia nashukuru kwa mahaba uliyonipatia, nikikumbuka miguno na viuno ulivyonipatia na raha niliyojisikia, nahisi kuna mwingine unampatia, please dear penzi langu usije wengine kuwapatia! Nakupenda. 18. Ulisema wanipenda na katu kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda! Umeamua kwenda ingawa wajua bado nakupenda, leo ni siku kenda toka umekwenda, amini bado nakupenda na kwa mwingine siwezi kwenda! Asanteni kwa kusoma toa maoni yako kuhusu sms hizi kwa walteremmanuel78@yahoo.com au +255718036654 na bila kusahau mtumzima napatikana online muda mwingi!

What makes some people dearest is NOT just the happiness that you feel when you

meet them; but it's the pain you feel when you miss them... ***** Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu! **** It's nice feeling when you know that someone loves you, someone misses you, someone needs you, but it feels much better when you know that someone never forgets you! ***** Samahani mpenzi kwa kukupa habari mbaya! Nimepata ajali ya MOYO, nimelazwa wodi ya MAPENZI, Daktari kaniandikia vidonge aina ya BUSU, nimetafuta katika maduka yote ya dawa nimekosa! Je, wewe waweza kunipatia mpenzi wangu? ***** Have you seen my smile because the last time I wore it was when I was with you! Miss U sweetie... ***** Kila chozi likidondoka linaandika jina lako, kila waridi nilipandalo latoa harufu yako, kila moyo udundapo hutaja jina lako, nakupeda mpenzi wangu wa ubani, kukusaliti siwezi asilani! ***** Missing someone gets easier everyday, coz even though it's one day further from the last time u saw each other, it is one day closer to the next time u'll!

WATAALAMU WA MAMBO YA MAHUSIANO WANAAMINI UJUMBE WA MAPENZI HUDUMISHA PENZI KWA KIASI KIKUBWA SANA. LEO NIMEKUANDALIA MESEJI KALI ZA KIMAPENZI KWA AJILI YA KUMTUMIA UMPENDAYE, LENGO LIKIWA NI KUBORESHA PENZI LAKO. KAZI KWAKO KUCHAGUA MOJA NA KUMTUMIA LAHAZIZI WAKO! I am opening an emotional bank account for u sweetheart, so deposit your love in it and you will get the interest! ***** Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu!

***** If I could die early I would ask God if I could be your guardian angel, so I could wrap my wings around you and embraces you whenever you feel alone... ***** Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu, tupendane daima lahazizi ***** It is hard to talk when your in love because when I look into your beautiful I get my breath taken away ***** Midomo yako inanichanganya, macho yako yananivutia, umbo lako linaniacha hoi, wewe ni wangu wa ubani siwezi kudanganywa na walaghai ***** Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni mwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako daima, nakupenda dear ***** R. for red , red for blood , blood for heart, heart for love, love for you, you for me, me is you , I love you ma dear! ***** Hiki ni kipindi muhimu kwetu, kuoneshana mapenzi ya kweli, wanafiki wabaki kimya kwa aibu zao ***** Ill drop a tear drop into the ocean n the day I find that tear drop is the day I stop loving u! *****

Usiku wa jana ulikuwa wa aina yake, ulinipa mambo matamu yasiyo ya kawaida, ulinifurahisha sana mpenzi wangu, ulidhihirisha kuwa wewe ni kidume uliyeubwa kwa ajili yangu.. ***** Baby I have an addiction problem, people say I should go to rehab but I always tell them I dont wanna go cause Im addicted to ... YOU ***** Kutokana na penzi la siku ya kwanza kwako, bado ninatamani kuendelea kujificha katika moyo wako, wewe ni taa ya maisha yangu, nahitaji uwe nami siku zote, nami nitakuwa nawe, hadi kifo kitapotutenganisha! Hii ni ahadi ambayo sitaivunja hadi siku naingia kabuni, tupendane mpenzi Kila ninapowaza kwanini nilikupenda wewe sipati jibu, kila siku nafikiria zawadi ya kukupa kuonyesha mapenzi yangu kwako nakosa. Tambua kitu kimoja lahazizi wangu, nakupenda sana! ***** Though Shakespeare is great , he'll never find the right words to describe u because he simply never xperienced knowing a wonderful person like u, friend! ***** Fumba macho sweetie, haya fumbua, soma neno linalofuatanakupenda na kamwe sitakusaliti milele! ***** If I could change the alphabet, I would put U and I together! ***** Kila kitu ulichonacho kinanipa mshawasha, macho yako mazuri, tabasamu tamu na umbo lako zuri, lakini kubwa zaidi ni mahaba yako mazito! *****

I knew u've got plenty of frens. Some r old, some r new. Some r false, some r truth. I may not be ur perfect fren but one thing I will always be - d cutest u've got. ***** Mpenzi wangu, natambua kuwa unanipenda kwa dhati, nimekuficha moyoni mwangu, nakuomba unihifadhi moyoni mwako nijifiche, nisipatwe na mvua wala jua!

You might also like