You are on page 1of 2

Solly & Flory Corporation.

www.sollydaddy92@gmail.com
www.floridahilali5@gmail.com
0769 567 263 / 0753 907 403
MAJIBU YA MASWALI YA CHALLENGE (O1)
1. Ni mstari gani mfupi zaidi katika Biblia? Na unasemaje?

Jibu: Yohana 11:35 _ “Yesu akalia machozi”

2. Yesu alipoletwa Hekaluni akiwa mtoto mdogo, ni nani aliyemtambua?

Jibu: Simeoni _ Luka 2:22-38.

3. Musa alikuwa na umri gani alipokufa?

Jibu: Miaka 120 _ Kumbukumbu la Torati 34:5-7

4. Ni kijiji gani kilikuwa mahali pa kukaa pa Yesu?

Jibu: Bethania _ Marko 11:11, Mathayo 21:17

5. Ni kitabu gani katika Biblia kina hadithi ya Daudi na Goliathi?

Jibu: 1 Samweli

6. Stefano alikufa kifo cha namna gani? Toa fungu kutoka kwenye Biblia.

Jibu: Alikufa kwa kifo cha kupigwa na mawe _ Matendo 7:54, 8:2

7. Ni nani aliyefanya jua na mwezi kusimama?

Jibu: Yoshua _ Yoshua 10:12-14

8. Yesu alifungwa wapi? Toa fungu kutoka kwenye Biblia.

Jibu: Gethsemane _ Mathayo 26:47-56

9. Ni nani aliyefasiri maono ya Danieli ya kondoo Mume na Beberu katika


kitabu cha Danieli? Ambatanisha na fungu kutoka kwenye Biblia.

Jibu: Malaika mkuu Gabrieli _ Danieli 8:5-7

10. Nini kinatokea baada ya mtu kufa?

Jibu: Mwili huyarudia mavumbi nayo roho humrudia yeye aliyeitoa.

AHSANTENI NA MUNGU AWABARIKI SANA WATUMISHI WA MUNGU

Prepared by MR.SOLIMA and MISS.FLORIDA

You might also like