You are on page 1of 1

Swahili Bible Anonymous

21
Maria awe mke wako, maana amekuwa mja mzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Atajifungua
mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika
22
dhambi zao." Basi, haya yote yalitukia ili litimie lile neno Bwana alilosema kwa njia ya nabii:
23
"Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, naye ataitwa Emanueli" (maana yake,
24
"Mungu yu pamoja nasi"). Hivyo, Yosefu alipoamka usingizini alifanya kama malaika huyo
25
alivyomwambia, akamchukua mke wake nyumbani. Lakini hakumjua kamwe kimwili hata Maria
alipojifungua mtoto wa kiume. Naye Yosefu akampa jina Yesu.

Chapter 2

1
Yesu alizaliwa mjini Bethlehemu, mkoani Yudea, wakati Herode alipokuwa mfalme. Punde
tu baada ya kuzaliwa kwake, wataalamu wa nyota kutoka mashariki walifika Yerusalemu,
2
wakauliza, "Yuko wapi mtoto, Mfalme wa Wayahudi, aliyezaliwa? Tumeiona nyota yake ilipotokea
3
mashariki, tukaja kumwabudu." Mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, yeye pamoja na
4
wakazi wote wa Yerusalemu. Basi akawaita pamoja makuhani wakuu wote na walimu wa Sheria,
5
akawauliza, "Kristo atazaliwa wapi?" Nao wakamjibu, "Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. Ndivyo
6
nabii alivyoandika: `Ewe Bethlehemu katika nchi ya Yuda, kwa vyovyote wewe si mdogo kabisa
kati ya viongozi wa Yuda; maana kwako atatokea kiongozi atakayewaongoza watu wangu, Israeli."`
7
Hapo, Herode aliwaita faraghani hao wataalamu wa nyota, akawauliza wakati hasa ile nyota
8
ilipowatokea. Kisha akawatuma Bethlehemu akisema, "Nendeni mkachunguze kwa makini habari
9
za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende nikamwabudu." Baada ya kumsikiliza
mfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa
10
mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto. Walipoiona
11
hiyo nyota, walifurahi mno. Basi, wakaingia nyumbani, wakamwona yule mtoto pamoja na
Maria mama yake; wakapiga magoti, wakamsujudia. Kisha wakafungua hazina zao, wakampa
12
zawadi: dhahabu, ubani na manemane. ic Mungu aliwaonya katika ndoto wasimrudie Herode;
13
hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine. Baada ya wale wageni kuondoka, malaika wa Bwana
alimtokea Yosefu katika ndoto, akamwambia, "Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake,

You might also like